![]() |
Mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa akisalimiana na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa |
![]() |
Sehemu ya wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa |
![]() |
Waziri mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wajumbe 92 kutoka jimbo la Ludewa ambao ni wenyeviti kata na makatibu kata kutoka kata zote 25 za jimbo la Ludewa |
![]() |
Waziri mkuu Pinda akisalimiana na wageni kutoka jimbo la Ludewa kwa mbunge Mhe. Deo Filikunjombe waliotembelea bungeni. kulia ni mbunge Filikunjombe Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Hope nauli na gharama za kuendea Dodoma wamejichangisha na siyo kutokakwenye kodi zetu.
ReplyDelete