Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji akiwahi uwanja wa ndege kwa Bodaboda baada ya kukwama masaa kadhaa barabarani kutokana na foleni kubwa aliyokutana nayo akiwa mitaa ya Mikocheni jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2014

    Okay fine, she was running late for her flight, but as member of parliament surely should not have taken the boda-boda without wearing a helmet, and rider is none the wiser either.
    Wakipata ajali wote vichwa vinadunda kwenye lami na ubongo na midamu kutapakaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2014

    Mbunge kavunja sheria kadhaa ikiwemo ya kotovaa helmet yeye na dereva

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2014

    Bila shaka hio picha ilikuwa kwa ajili ya wanahabari tu, na kama alisafiri kwa staili hio bila HELMET basi ni shupavu sana, yeye pamaoja na derava wake.

    Swali ni hivi kama ameweza vunja sheria hii iliyo wazi je zile zisizo onekana ???

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2014

    Mazingira yalilazimisha Mheshimiwa kutumia aina hiyo ya usafiri ili awahi usafiri ambao kwa kawaida hauna tabia ya kumsubiri abiria; nyinyi mnaosema ooh sijui hakuvaa helmet, hiyo ni immaterial sometimes any necessary means have to be applied in fulfilling the goals, mimi hapa sioni kasoro. Kuhusu hizo ajali hata magari ya maana hupata kwani 'ajali haina kinga'.
    Najua mnasema kwa vile Mheshimiwa sasa amekuwa ni 'public figure' vinginevyo haya ni mambo ya kawaida sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2014

    Anyone supporting huyu binti kwa kupanda boda-boda bila helmet anaongea pumba. Sisi ni binadamu na siyo paka, alau wenzentu "manyau" wana roho saba, siye tuna moja tu, itunze ikutunze.
    Na huo usemi wa hajali haina kinga umepitwa na wakati. Kwa karne hii "AJALI INA KINGA". You can`t be speeding in your old banger after drinking several alcoholic drinks and not wearing a seatbelt, and still having this verbal diarrhoea of ajali haina kinga, this is utterly nonsense!
    Kwa upande wangu, I would rather miss the flight! kwani kuna ndege nyingine, lakini the best option is to leave early to the airport, period.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 19, 2014

    JE UKIKWAMA KATIKA FOLENI UKITOKEA CITY CENTRE , BODABODA UTAIPATA WAPI?

    SUALA LA KUKATAZA BODABODA NA BAJAJ KUINGIA MJINI NI NZURI LAKINI MAASKARI WANAOITWA TIGO WANATUMIA NJIA ZISIZOWANAKAMATA BABAJ KUANZIA MAKUTANO YA NAMANGA NA BAGAMOYO RD.
    WAKATI BAJAJ HIZO NYINGI ZINAPELEKA ABIRIA OYSTERBAY MASAKI NA MSASANI.
    WEKENI KIZUIZI KABLA TU YA DARAJA LA SALENDA BRIDGE.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 19, 2014

    Du.foleni zinaboa sana.asante bodaboda

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 19, 2014

    Mbunge huyu anaubunifu mkubwa wa kutatua matatizo yaliyopo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 19, 2014

    Jamani kapiga picha mumuone tu, Helmet walivaa after picha. Huree boda Boda, Hata Mohamed Dewji alishawahi pata Bodaboda wajameni. Alishuka kwa Vogue akala boda boda kwa macho yangu nilimuona. Alivaa helmet. Nahisi viongozi wote wanunuliwe boda boda...lol, Nice Shyrose. cha msingi kufika. Msafiri Kafiri. iwe kwa ndege au kwa bus, iwe kwa baiskeli au mguu, pikipiki au gari..muhimu kufika sehemu husika.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 19, 2014

    Mhe. Shy Rose Bhanji yupo simple na makini sana:

    Angeweza kumudu Mashariti ya Uongozi hata angekuwa ni Mbunge ktk Kipindi cha Utawala wa Awamu ya Kwanza ya Kambarage Nyerere!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 19, 2014

    Hivyo ndivyo anatuhakikishia Tukimpa Uongozi wa juu nchini hatakuwa mwizi wa Mali za Umma ni vile anaweza kutumia Usafiri hata wa Bodaboda!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 19, 2014

    Hizi helmet za kila mtu anaweka kichwani unaweza ukapata mmba bure kichwani. Kama alikuwa hajajipanga kupanda boda boda akaacha shower cap nyumbani pengine ndiyo maana helmet ya mwenye boda boda aliona ingemletea shida.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 19, 2014

    jamani helmet zote feki ni kama umevaa kofia ya kawaida ukiibinya kwa mkono inavunjika helmet za ukweli tena iliyotumika waweza kuipata kwa sh150000 sasa je boda boda atawezaje na pia suala la kiafya mtu yeyote timamu hawezi kuchangia helmet

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...