Home
Unlabelled
MBUZI WAKIWA MACHUNGONI HUKO MTO WA MBU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwanini mbuzi wachungwe barabarani? KWANI hakuna mapori. Tafadhali animal control fanyeni kazi inavyotakiwa. Mbuzi wanakatiza mjini bila hofu. Hao wachungaji qanatakiwa wachukuliwe hatua kwa kurandish mbuzi barabarani/ mjini. Mbuzi ni qanyama kama qanyama wengine na hawaruhusiwa kuzagaa minjni na kwenye makazi ya watu. Hii ni kawaida kwa Tanzania?
ReplyDeleteBora hao wana mchunga, nenda Mbezi Goig,Ununio....ukaone maajabu ya Dar!
ReplyDeletewaacheni wafaidi dunia; anafanya kazi ya halali. serikali impatie ruzuku ya ufugaji akanunue eneo karibu na nyumbani kwake, aweke maji na uzuio. kama hawamsaidii basi mwacheni aendelee, ni bora afanye hiyo kazi kuliko kuja kutukaba koo barabarani au kuja majumbani kwetu na mapanga usiku.
ReplyDelete