Kamera man wa Globu ya Jamii alipo kwenye Mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli Jijini Arusha ametuletea taswira hii ya Mbuzi wakiwa machungoni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2014

    Kwanini mbuzi wachungwe barabarani? KWANI hakuna mapori. Tafadhali animal control fanyeni kazi inavyotakiwa. Mbuzi wanakatiza mjini bila hofu. Hao wachungaji qanatakiwa wachukuliwe hatua kwa kurandish mbuzi barabarani/ mjini. Mbuzi ni qanyama kama qanyama wengine na hawaruhusiwa kuzagaa minjni na kwenye makazi ya watu. Hii ni kawaida kwa Tanzania?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2014

    Bora hao wana mchunga, nenda Mbezi Goig,Ununio....ukaone maajabu ya Dar!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2014

    waacheni wafaidi dunia; anafanya kazi ya halali. serikali impatie ruzuku ya ufugaji akanunue eneo karibu na nyumbani kwake, aweke maji na uzuio. kama hawamsaidii basi mwacheni aendelee, ni bora afanye hiyo kazi kuliko kuja kutukaba koo barabarani au kuja majumbani kwetu na mapanga usiku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...