Mdau Ruger Kahwa ambaye in mkuu wa ofisi ya umoja wa mataifa inayoshughulikia uratibu wa majanga na misaada ya kibinadamu nchini Papua New Guinea akitia saini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Malaysia nchini Papua New Guinea kufuatia kifo cha Sultan of Perak, His Royal Highness Sultan Azlan Muhibbuddin Shan Ibni Almarhum Sultan Yussuff Izzuddin Shan Ghafarullahu-Lah kilichotea Malaysia 28 May 2014.His Royal Highness served as the ninth King of Malaysia from 1989 -1994.
Home
Unlabelled
Mdau Ruger Kahwa Akihani msiba Ubalozi wa Malaysia nchini Papua New Guinea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...