Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimkaribishakatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika banda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii |
Add caption |
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud kulia akimpatia mahelezo katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembeleabanda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii |
Mkurugenzi wa mipango ya uwekezaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Gabriel Silayo katikati akiwa na baadhi ya maofisa wa PSPF wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...