Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka ( kulia) akimwonesha Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Bw. Gabriel Nderumaki ,aina ya ufuta naozaa kwa wingi wakati alipotemtembeza kuona Mradi wa Kilimo wa Mkuu wa Wilaya hiyo, lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 100 linalojumuisha kilimo cha mahindi , Ufuta na ufugaji wa samaki , katika Kijiji cha Lubungo, wilayani humo.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Gabriel Nderumaki ,( kushoto) akimuuliza jambo Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka , wakati alipomtembelea kuona Mradi wa Kilimo wa Shamba la Mkuu wa Wilaya huyo
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka ( kushoto) akimwongoza Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Gabriel Nderumaki , ndani ya shamba lake la ufuta
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka akimwonesha Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Gabriel Nderumaki , aina ya mahindi yanayozaa na kukomaa kwa miezi michache
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, Anthony Mtaka ( kushoto) akiwa na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali ‘ Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN), Gabriel Nderumaki kwenye bwawa la kufugia samaki shambani kwake. Picha na John Nditi
Hongera mkuu wa wilaya kwa kuonyesha mfano wa kuigwa
ReplyDeleteNashukuru Kuona Mkuu wa Wilaya anahusika kwenye kilimo. Ila namwomba awasaidie wakulima wa Mvumero kumiliki ardhi maana kama yeye anazo 100 badi asitubane sisi wenye 10
ReplyDelete