Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mh Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya sido.
Mkurugenzi wa Sido Taifa Omary Bakari akiwa anasoma risala kwa mgeni rasmi katika maonyesho hayo.
baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido
Mkurugenzi wa TAHA, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwaa na shanga zilizopo katika viwanja vya makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo
wahadzabe wakiendelea kutengeneza mikuki yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...