Msaidizi wa waziri wa maliasili na utalii,Helen
Mtalemwa,akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni katibu wa ofisi ya
Qadhi mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya
uendeshaji wa mahakama hiyo mjini hapa.
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza muda mfupi kabla
msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii,Helen Mtalemwa (wa pili kulia)
kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya
uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...