Askari polisi wa kituo cha kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia hatua mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki.
Askari katika ofisi za kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao wa pikipiki.
Madereva hao walionekana kukerekwa na kuzuiwa kumuadhibu kijana huyo na hapa walionekana wakilalamka.
Jamaa wa nje akatamani kupita katikati ya Nondo hapa.
Geti likafungwa na hakuna mtu aliyepita.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2014

    Kwa polisi - Kazi nzuri. You serve and protect. Wenye mali wana haki lakini mtuhumiwa pia ana haki. Remember the presumption of innocence and until proven guilty - by a competent court of Law - not by an angry biased mob.
    In this occassion I give a big up to the Moshi police!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...