Nyomi ya wati imetapakaa katika eneo la shopping mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam muda huu baada ya Super Market mpya ya NAKUMATT HOLDINGS iliyoinunua Shoprite STORES kufanya SELI ya 50% kwa bidhaa zote zilizokuwepo kwenye Super Market hiyo, ili kupisha mzigo mpya. Pichani ni baadhi ya watu wakichangamkia SELI ya bidhaa hizo.
Hili ni Nyomi linaloonekana kwa nje na ndani kuna idadi kuwa ya watu waliobahatika kuingia toka asubuhi,kwa ajili ya saula saula hiyo ya bidhaa. Milango ilifungwa kutokana na kutokea kwa vurugu kubwa la watu waliojitokeza kwa wingi kwenye Super Market hiyo.
Wengine wameamua kukaa chini kusubiri bahati ya kuingia ndani ya Super Market hiyo kujipatia chochote kwa bei chee.
Wengine wamejichokea kama hivi. Chini foleni hadi nje leo...

The 50% Sale at Nakumatt Mlimani City, flagship store located at Mlimani Mall in Dar es Salaam, yesterday and today has attracted an overwhelming crowd of shoppers hoping to catch a bargain.
According to Nakumatt Holdings, Managing Director, Mr. Atul Shah, the clearance sale shopping bonanza will be undertaken throughout this weekend to facilitate a stock clearance process.
“Nakumatt has sealed an assets buyout agreement with Shoprite and we are undertaking this immensely popular sale to clear current stock holds ahead of a rebrand and reopening of the three stores.
“Through this sale, we are also evaluating the variety and demand for some of the items to ensure that we optimize the stockholding based on customer demands here in Tanzania,”Shah explained.
At the end of this week, Shah further confirmed that Nakumatt will be briefly closing down the three stores to facilitate stores refurbishment process.
The process expected to last a month will thereafter facilitate the reopening of the three stores under the Nakumatt banner and management, which will give an opportunity for all customers to experience the renowned Nakumatt courtesy.
In Tanzania, Nakumatt operates a single store in Moshi and will be effectively raising its branch network to 49 up from the current 46 across East Africa.
Na huku USA huwa tunafanyaga hivyo Black Friday, the day after thanksgiving, mistari inakuwaga ni mirefuu balaa. Last time nilisave $900 kwenye single item. Hii kitu ni worldwide
ReplyDelete