Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU ukipenda waite viumbe wa ajabu "Anunnaki alien" au watoto wa mbwa, ambao walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya jumamosi 7 Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la Challenge Festival liloandaliwa na umoja wa Wakameruni nchini Ujerumani. Wasikilize FFU Ughaibuni at www.ngoma-africa.com
Kamanda Ras Makunja akiongoza mashambulizi
Hapo ni supu ya mawe kwa kwenda mbele. Kamanda awapo jukwaani anacheka lakini hakuna masikhara kabisa katika gwaride
Sehemu ya nyomi ya wadau katika onesho la FFU Ughaibuni
Ras Makunja akikipa ishara kikosi chake wakati wa Sebene la nguvu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...