Msanii Nguza Viking (kulia) na Mwanae Jonson Nguza Maarufu kwa jina la Papii Kocha ambao wanatumikia Kifungo chao kwenye Gereza la Ukonga jijini Dar,wakiwa na Bendi ya Wafungwa wakiimba Wimbo Maalum kuhusu Urekebishaji wa Wafungwa unavyofanyika Magerezani,Wanamuziki hao walitumbuiza katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika Juni 20, 2014 katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga.
Home
Unlabelled
Nguza Viking na Mwanae Papii Kocha watumbuiza kwenye Maadhimisho ya Magereza Day
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Taken lives
ReplyDeleteMna moyo! 'No kinyongo...'
ReplyDeletepoleni sana
ReplyDeletehii inapendeza kwa kiasi fulani angalau kwamba kipaji cha mtu kinajaliwa mimi nadhani magereza wanatakiwa kuvitumia vipaji zaidi vya wafungwa ambao wanao; huko kuna wahadhiri, madaktari, watafiti etc vitumike hivi vipaji badala ya kuvipoteza moja kwa moja
ReplyDelete