Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee akitoa maelekezo
kwa Maofisa wa Mfuko huo katika maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja.
Maofisa wa Mfuko katika banda la NHIF kitengo cha Usajili wa wanachama wakiendelea na uhakiki wa
nyaraka kwa ajili ya vitambulisho.
Wadau waliotembelea banda la NHIF wakipatiwa huduma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akitaka ufafanuzi wa jambo katika banda la Mamlaka
ya Vitambulisho (NIDA).
Kaimu Mkurugenzi Mkuu katika picha ya pamoja na watumishi wa Mfuko walioko kwenye maonesho
hayo.
Bw. Mdee pia alipata fursa ya kutembelea banda la GEPF.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Raphael Mwamoto akifafanua jambo kwa Kaimu Mkurugenzi
Mkuu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...