Warembo wanaowania taji la mkoa wa Tanga, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijiaandaa kufanya usafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ikiwa ni moja ya kampeni ya kuendelea kulifanya jiji hilo liwe safi muda wote.
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakitupa takataka katika gari maalum la kubeba taka. Mshindi wa kwanza katika shindano hilo atapata zawadi ya gari dogo aina ya Toyota Vitz.
Zoezi la usafi limepamba moto na kuliacha eneo hilo safi kabisa. Mgeni rasmi katika shindano hilo atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Chiki Gallawa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2014

    Hizo gloves mlizovaa Ni kwa matumizi ya hospitali inashangaza kutumika kwa ajili ya kuzolea taka...sijui Ni ulimbukeni au ndio u miss.
    Kuna special gloves kwa kazi hiyo ya kuzolea taka. Mtapata maradhi bureee

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2014

    huyu jamaa hapo juu kaongea pumba tupu bora unyamaze 2

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2014

    Nimeongea kwa sababu najua matumizi yake hata kule hospitali ninapozitumia huwa ninavaa mbili kwa sababu Ni rahisi kutoboka Na kuchanika. Kama huelewi kitu kaa kimya.

    ReplyDelete
  4. Why making as a personal attack to each other? Hao warembo kwani walipewa hizo gloves au wao ndo walichukua kwa matumizi hayo? There is someone supervising for such occasions na wao wamepewa kuvaa kama zana ya usafi si kwamba wao ndo wamejiamulia. Pls think deep and provide constructive ideas bug not personal attacks. I am sorry if I bored someone.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...