Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA. |
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa. |
Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu. |
Kazi nzuri polisi ya kupambana na madawa ya kulevya. Madawa haya yanaharibu maisha ya watanzania wengi walioathirika na wale wenye ndugu ambao wameathirika.
ReplyDeletewATANZANIA TUMIENI uBUNIFU NA aKILI KUPATA fEDHA NA uTAJIRI!!!
ReplyDeleteJe wageni wanao ingia TZ na kuwa matajiri nao wanauza ama kusafirisha unga?
Fursa nyingi sana tumezikalia hapa nchini na sio kufanikiwa ni lazima uwe Jambazi, utumie Uchawi kufanikiwa kimaisha ama uuze na kusafirisha Unga!
Mtakamatwa na kufungwa sana Watanzania kabla hamjagundua siri ya kufanikiwa kimaisha badala ya kuwa na akili finyu za kusafirisha na kuuza unga!
ReplyDelete