Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa bunduki mbili pamoja na mali kadhaa kufuatia operesheni tokomeza uhalifu inayoendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani Hapo.
Kamanda Boaz akiwaonesha waandishi wa habari, bunduki mbili, ya kulia ni Shotgun Greener, ambayo imekatwa kitako pamoja na nyingine aina ya shotgun (ya kushoto), namba za usajili 68022, ambazo zinaaminika zimekuwa zikitumika katika matukio kadhaa ya ujambazi mkoani humo.
Baadhi ya vito vya thamani vilivyokamatwa katika operesheni hiyo zikiwemo bunduki hizo mbili .
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2014

    Bunduki kuungwa Hirizi halafu pamoja na bidii hizo bado mpango unagalambuka na wanakamatwa ni kuwa rtunajifunza ya kuwa JITIHADA HAISHINDI KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU!

    MNAFANYA UCHAWI ILI KUWEZA KUFANIKISHA UJAMBAZI WENU HALAFU MWENYEZI MUNGU MKUU ANAKATAA KWA VITENDO KWA KUWEZESHA KUKAMATWA KWENU!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...