A two (2) storey house for sale at Mbezi beach behind Art Gallery in Dar es salaam. Plot size: 1,206 square metres. It is fully fenced by concrete blocks with two entrance gates at front and rear side; there are two access roads.
House: Ground floor: 5 bedrooms (1 master), 3 bathrooms, living room, dining room, kitchen and stores. 1st floor: 3 bedrooms (1 master), 2 bathrooms.
Extras:
- The house can easily be converted into 2 family houses and each use its own gate on different access roads.
- Can also be converted into commercial use e.g. hotel, restaurant, office etc.
Price: USD 320,000
Contact: 0788 077 098
or email: rodgers@eaunique@gmail.com
Note: No agents please
Best regards,
MDAU MBEZI BEACH
Kwa nini mnarumia dollar does the gov allow that ? I thought we use shillings
ReplyDeleteprice $320,000?? are kidding me?? kwanini bei sio kwenye shilling za kitanzania? Yaani mbezi ndio nitoe hizo hela hata barabara au maji hakuna. Hiyo bora niende ku invest south africa Jo'burg unapata nyumba nzuri kwa bei hiyo kama nyumba 3 hivi.
ReplyDeleteWe hapo juu ka huna hela kaa kimya. Uswahili tu umekujaa. Khaaa! Ila hapa mie namuomba huyo mdau wa mbezi beach atuwekee picha, tusijeanza mapatano kama kuuziwa mbuzi kwenye gunia. WEKA PICHA MDAU!!!!
ReplyDeleteWow 320,000 USD for a house in bongo,no paved roads,no water,unreliable electricity,poor security(anytime u could get ambushed by thugs) for this cash better buy a house in the US, in most states u get two house for that amount of cash
ReplyDeleteUSA hapo state Kama texas,Florida,unapata mbilimbili hapo .bongo nomaaaa
DeleteMJAMMA MUUZAJI MBONA NAONA UNATAKA KUUZA MBUZI YUMO NDANI YA GUNIA? NAFIKIRI UNATAKA KUUZA HIO NYUMBA KISIRISIRI,AU UNATAKA TAPELI WATU? WEKA PICHA IONEKANE BASI HIZO DOLLARS SIO TATIZO KWANI NDIO PESA INAYOTAMBA KATIKA BIASHARA TANZANIA KWA SABABU YA PESA YETU SHS ISIOKUWA NA THAMANI
ReplyDeleteAnkal eeeh.. Mitangazo kama hii usiwekage. Kama hakuna picha piga chini tu...
ReplyDeleteNataka kujua capital gain tax kama ipo bongo itapunguza watu kama hawa kuuza nyumba kwa bei mbaya.Ni kuweka tax kubwa tu kwa nyumba ambazo zinazidi Tshs.100million capital gain tax ya 30% ndio itakuwa size yao na procedure zote za kuchange hati miliki zifuatwe kwa kuhakikisha kuwa hukamilishi kubadilisha hati miliki mpaka uoneshe tax certificate ya hiyo asset. Mbinu hii itapunguza tamaa ya kuweka bei kubwa.Tax zote zilipwe yaani income tax, stamp duty na capital gain tax.
ReplyDeletenyie wadau mnaolalama maskini hamna pesa. hivi unajua kama USA kuna nyumba inauzwa 100 million us dollars, na probably nyumba kama hii 8 bedrooms iliyo maeneo ya kifahari huwezi kupata kwa bei hiyo USA. ondoeni njaa zenu hapa
ReplyDeleteUSA unajua kuna richest states .NEW YORK,COnnectcut,Maryland ,Virginia,Alaska,Hawaiii.Hizi state ni za watu wenye pesa mkisikia m tanzania Ana nyumba hizi state mjue yupo juu mnooo .CAlifornia it depends wapi ila state zilizobakia bei ya kutupa state za nyumba za kumwaga Texas ,Florida ,Ohio huko ndio maana wamejazana wabongo .
DeleteI admire your creative potential seems limitless. There’s a lot of writings, articles and blogs that are not catchy in the eye but it seems like you master it. However have you tried BGC Properties? I just want to know if you have good experience on it.
ReplyDelete