A two (2) storey house for sale at Mbezi beach behind Art Gallery in Dar es salaam. Plot size: 1,206 square metres. It is fully fenced by concrete blocks with two entrance gates at front and rear side; there are two access roads.

House: Ground floor: 5 bedrooms (1 master), 3 bathrooms, living room, dining room, kitchen and stores. 1st floor: 3 bedrooms (1 master), 2 bathrooms.
 Extras:
  1. The house can easily be converted into 2 family houses and each use its own gate on different access roads.
  2. Can also be converted into commercial use e.g. hotel, restaurant, office etc.
Price: USD 320,000
 Contact: 0788 077 098 
or email: rodgers@eaunique@gmail.com
 Note: No agents please

Best regards,
MDAU MBEZI BEACH

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2014

    Kwa nini mnarumia dollar does the gov allow that ? I thought we use shillings

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2014

    price $320,000?? are kidding me?? kwanini bei sio kwenye shilling za kitanzania? Yaani mbezi ndio nitoe hizo hela hata barabara au maji hakuna. Hiyo bora niende ku invest south africa Jo'burg unapata nyumba nzuri kwa bei hiyo kama nyumba 3 hivi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2014

    We hapo juu ka huna hela kaa kimya. Uswahili tu umekujaa. Khaaa! Ila hapa mie namuomba huyo mdau wa mbezi beach atuwekee picha, tusijeanza mapatano kama kuuziwa mbuzi kwenye gunia. WEKA PICHA MDAU!!!!

    ReplyDelete
  4. Wow 320,000 USD for a house in bongo,no paved roads,no water,unreliable electricity,poor security(anytime u could get ambushed by thugs) for this cash better buy a house in the US, in most states u get two house for that amount of cash

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJune 17, 2014

      USA hapo state Kama texas,Florida,unapata mbilimbili hapo .bongo nomaaaa

      Delete
  5. AnonymousJune 15, 2014

    MJAMMA MUUZAJI MBONA NAONA UNATAKA KUUZA MBUZI YUMO NDANI YA GUNIA? NAFIKIRI UNATAKA KUUZA HIO NYUMBA KISIRISIRI,AU UNATAKA TAPELI WATU? WEKA PICHA IONEKANE BASI HIZO DOLLARS SIO TATIZO KWANI NDIO PESA INAYOTAMBA KATIKA BIASHARA TANZANIA KWA SABABU YA PESA YETU SHS ISIOKUWA NA THAMANI

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2014

    Ankal eeeh.. Mitangazo kama hii usiwekage. Kama hakuna picha piga chini tu...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2014

    Nataka kujua capital gain tax kama ipo bongo itapunguza watu kama hawa kuuza nyumba kwa bei mbaya.Ni kuweka tax kubwa tu kwa nyumba ambazo zinazidi Tshs.100million capital gain tax ya 30% ndio itakuwa size yao na procedure zote za kuchange hati miliki zifuatwe kwa kuhakikisha kuwa hukamilishi kubadilisha hati miliki mpaka uoneshe tax certificate ya hiyo asset. Mbinu hii itapunguza tamaa ya kuweka bei kubwa.Tax zote zilipwe yaani income tax, stamp duty na capital gain tax.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2014

    nyie wadau mnaolalama maskini hamna pesa. hivi unajua kama USA kuna nyumba inauzwa 100 million us dollars, na probably nyumba kama hii 8 bedrooms iliyo maeneo ya kifahari huwezi kupata kwa bei hiyo USA. ondoeni njaa zenu hapa

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJune 17, 2014

      USA unajua kuna richest states .NEW YORK,COnnectcut,Maryland ,Virginia,Alaska,Hawaiii.Hizi state ni za watu wenye pesa mkisikia m tanzania Ana nyumba hizi state mjue yupo juu mnooo .CAlifornia it depends wapi ila state zilizobakia bei ya kutupa state za nyumba za kumwaga Texas ,Florida ,Ohio huko ndio maana wamejazana wabongo .

      Delete
  9. I admire your creative potential seems limitless. There’s a lot of writings, articles and blogs that are not catchy in the eye but it seems like you master it. However have you tried BGC Properties? I just want to know if you have good experience on it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...