BAADHI YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA. |
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw,Hadji Jamadary kulia akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimpatia mahelezo mmoja ya wananchi waliofika kutembelea banda lake Bw.Ahmed Sendi wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma inayoendelea katika viwanja vya mmnazi mmoja Dar es salaam. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...