Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Vingozi mbali mbali na wazee wa Chama katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,wakiondika kuelekea nchini leo kwenda Uingereza kwa safari maalum. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2014

    picha ya mwisho huyo jamaa wa mwanzo ana heshima kwelikweli.dah

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...