JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS,
MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA
MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
02.00-03.30
|
Burudani
|
MC
|
03.30-04.00
|
Waalikwa Kuingia Uwanjani
|
MC/Wageni Waalikwa
|
04.00-04.15
|
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani
|
MC/ Kamati ya Mapokezi
|
04.15-04.30
|
Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Nchi, OR MUU Celina O.
Kombani (Mb) kuwasili
|
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma
|
04.30-05.15
|
Mgeni Rasmi Kupokea Maandamano
|
MC
|
05.15-05.30
|
Burudani
|
MC
|
05.30-05.35
|
Kumkaribisha Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Nchi, OR
MUU Celina O. Kombani (Mb).
|
MC/Katibu Mkuu Utumishi
|
05.35-06.00
|
Mgeni Rasmi Kufungua
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2014
|
MC/ Mhe. Waziri wa Nchi, OR MUU Celina O. Kombani
(Mb).
|
06.00-06.05
|
Kutoa Neno la shukrani
kwa Mgeni rasmi
|
Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
|
06.05-06.20
|
Burudani
|
MC/Kikundi cha Ngoma
|
06.20 na kuendelea
|
Mgeni rasmi kutembelea mabanda ya Maonesho
|
MC/ Katibu Mkuu Utumishi
|
06.20 -06.50
|
Burudani
|
MC/Kikundi
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...