Hali iko shwari jioni hii katika shopping Mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam baada ya wamiliki wapya wa iliyokuwa Shoprite Stores Nakumatt kuamua kufunga seli iliyozua zogo hata ikabidi leo mchana FFU waitwe kutuliza ghasia. Matangazo yanajieleza nini kitaendelea Jumatatu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2014

    Huku kupenda bei che. kunaweza kugharimu maisha ya mtu. maisha haya bwana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2014

    Roho ya Kimaskini Zinatia aibu sana! Watu mpaka wanapoteza utu wakati pesa wanazo za kutosha kabisa! Tatizo ni Poverty mindset.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2014

    It ie not about bei chee au kutia aibu. Punguzo la 50% maana yake mteja anapata savings kwenye manunuzi sawa na punguzo hilo.
    Nawashauri wanunuzi wafanye manunuzi yao kila inapotokea seli ili kuchukua fursa hiyo msione aibu.
    Wafanyibiashara wao wanataka faida zaidi kutoka kwenye mauzo, mbona hawaoni aibu?
    Wanunuzi wanataka savings kutoka kwenye manunuzi, hivyo wasione aibu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2014

    Ni kweli hata Michele Obama amekiri kununua baadhi ya mahitahi yake kwenye sale. Sale si kitu cha aibu kabisa, tatizo ni tumekosa kuvumiliana. Unakuja unakuta wenzio wamefika kabla yako lakini unataka uingie na kutoka kabla yao. Hapa ndipo aibu inapolalia kwani ni ukosefu mkubwa wa usataarabu. Huna nafasi ya kusubiri kubali kuwa haikuwa bahati yako labda safari ijayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...