Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika (kushoto), akisaini kitabu cha wageni, wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), katika ufunguzi huo. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa SSRA, Agnes Lubuva.
Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Agnes Lubuva (kulia), alipotembelea banda la mamlaka hiyo, wakati wa ufunguzi maonesho hayo hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, akiwapatia maelezo kuhusu kazi na majukumu ya mamlaka hiyo, baadhi ya wananchi walifika kwenye banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Saalaam jana.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...