Mkurugenzi wa Huduma wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Bi. Nakuala Senzia (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku mbili
la uwekezaji na biashara linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha
ni Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe, (katikati) na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu
wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Paul Omara. Benki hiyo ndiyo inayodhamini mkutano huo.
Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku mbili la uwekezaji na biashara linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...