Ndugu,Jamaa na Marafiki ,
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Ndugu
yetu na mwanajumuiya mwenzetu Elibariki Mshomi amefiwa na mdogo
wake,Robert Mshomi huko Moshi Tanzania.Mazishi yamepangwa kufanyika Jumatatu June 23 2014 nyumbani kwao Moshi.
Kama ilivyo kawaida ya desturi yetu,tunaombwa kujitokeza kumfariji ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.
Tutakuwa
na Memorial Service,maombi na nafasi ya watu kuleta rambi rambi siku
ya jumapili June 22nd 2014 saa kumi na nusu jioni (4.30pm) nyumbani kwa
EliBariki -Rogers Minnesota.
Anwani: 22820 Gardner Avenue,Rogers,MN 55374.
Bwana Alitoa,na Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Libarikiwe !
Kwa niaba ya Kamati,
Gracious Msuya,
Mwenyekiti.
Tel:763-439-5626.
Poleni sana wafiwa. Jamani, je, huyu ni Robert Mshomi niliyesoma naye Ilboru miaka ya tisini? Kama ndiye, nitamkumbuka kwa ucheshi wake.
ReplyDelete