Tunasikitika kutangaza kifo cha Pamela Sima Ruhago (pichani) kilichotokea jijini Dar es salaam jana tarehe sita June, 2014.
Maombelezo yanaendelea Mbweni nyumbani kwa Mama yake, Eva Ruhago.Mtaa wa MICA.
Ibada ya mazishi itafanyika kesho tarehe 08 June, 2014 TISA KAMILI mchana katika kanisa la KKKT BOCCO - Mbweni na Mazishi yatafanyika MARA BAADA YA IBADA NA KUAGA katika makaburi ya Bahari beach kwa Kondo kuanzia saa kumi jioni.
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Roho ya marehemu Pamela Sima Ruhago ipumzike amani
Amin
Roho ya marehemu Pamela Sima Ruhago ipumzike amani
Amin
Pumzika kwa amani Pamela! Mungu amekupenda zaidi!
ReplyDeleteRIP
ReplyDeleteR.I.P
ReplyDeleteSo sad so young RIP
ReplyDeleteRest in peace my cousin-Robert
ReplyDelete