Wadau ndani ya Tamasha la Nyama Choma,toka kulia ni Dimo Dibwe,Carol Ndossi (Muandaaji wa Tamasha hilo la Nyama Choma) pamoja na Mdau Edwin MacTemba.
Nyama ikiendelea kuiva jikoni huku walaji wakiendelea kuimezea Mate.
Mtaalam wa kuchoma nyama toka jamii ya Kimasai akitest mzigo kama uko poa.
Wadau wakiendele kutafuna nyama huku zingine zikiendelea kuiva taratibu.
Maandalizi ya Nyama yakiendelea.
Mshkaki maridadi kabisa.
kwa hali ilivyo usishangae kusikia katika hizo nyama na mbuzi wa kichina nao wlikuwemo
ReplyDeleteNaona hata wenye vitambi na uzito ulio vuka mipaka hawapo nyuma
ReplyDelete