Muonekano wa mtambo wa kurusha matangazo ya televisheni ya Dijitali uliosimikwa ardhini kwenye mlima wa Igalilimi uliopo mji wa Kahama. Kampeni ya Elimu kwa Umma kwa wakazi wa mji wa Kahama imefanyika na kukamilika kwa kufanya uzinduzi rasmi wa matangazo mwishoni mwa Mwezi Mei, 2014.
Picha na taarifa na Prisca Ulomi, Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Home
Unlabelled
Uzinduzi wa Matangazo ya Televisheni ya Dijitali kwenye Manispaa ya Mji wa Kahama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...