Channel ten imeanza kipindi cha DK 45 cha KUELEKEA KOMBE LA DUNIA ambacho kinatoka kila siku saa 12 jioni na kinarudiwa siku inayofuata saa 6 mchana. Kipindi hicho kinaongozwa na EZEKIEL MWAMBOPO, OREST KAWAW wakishirikiana na DR LIKY katika uchambuzi wa kina kwa kila kundi lenye timu shiriki katika kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.
Home
Unlabelled
Channel ten imeanza kipindi cha DK 45 cha KUELEKEA KOMBE LA DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...