Mwenyekiti wa soko la Makumbusho, Bi Mary John (kulia), akiongea na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, SP Awadhi Haji (kati), na Mkuu wa Usalama Barabarani, Kituo cha Kinondoni, Solomon Mwangamilo (kushoto).
Huduma ya usafiri ikiendelea kama kawaida eneo la Makumbusho
Stendi ya Makumbusho kabla haijaanza kutumika.
Muonekano mpya wa kituo cha Mwenge baada ya kuhamishwa.Picha na GPL
Kwahiyo wale wanaoishi mwenge.....wataishia au kuelekea makumbusho kwa kukanyaga sio???au bajaji??? ila si mbaya ndio iwavyo tunapojaribu kuboresha maisha kuna kupitia adha kidogo kisha inakaa sawa....
ReplyDelete