Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose Bhanji.
Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa na mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima.
Mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini dar es Salaam leo.
Wabunge wa Jumiya ya AfrikaMashariki (EALA), wakitoka katika ukumbi wa Idara ya Habari jijini Dar es Salaam, baada ya mkutano wao na waandishi wa habari. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya hiyo kutoka Tanzana, Adam Kimbisa, Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose Bhanji (katikati) na mbunge wa bunge hilo Twaha Taslima.
BOFYA HAPA KUSOMA WARAKA WAO
BOFYA HAPA KUSOMA WARAKA WAO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...