
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Razalo Nyalandu akipongezana na Balozi Chales Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB mara baada ya kuzindua rasmi SITE ya Maonyesho ya Kimataifa Utalii ya Tanzania yanayojulikana kama Swahili International Tourism Expo (SITE) kwenye hoeli ya Serena Mwisho ni mwa wiki, Maonyesho hayo yatakayohusisha kampuni binafsi, taasisi za kiserikali kama Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na washirika wengine katika sekta hiyo yanatarajiwa kufanyika tarehe 1 mpaka 4 Oktoba, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Bi. Devotha Mdachi.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Razalo Nyalandu akizungumza katika zinduzi huo wakati alipokuwa akisoma hotuba yake.

Wageni wlikwa mbalimbali wakiangalia jinsi mabanda yatakayotumiwa na washiriki wa maonyesho yatakavyokuwa.

Balozi Chales Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB akimkaribisha Waziri Razalo Nyalandu ili azungumze na kisha kuzindua maoyesho hayo.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...