Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dr. Eng. Binilith Satano Mahenge wa (kwanza kushoto) akizungumza na Balozi wa Ujerumani Mr. Hans Koeppel alipomtembelea ofisini kwakwe mtaa wa luthuli jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaotarajia kufanyika julai mwaka huu mjini Berlin Ujerumani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dr. Eng. Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Mazingira Bw. Julius Ningu (wa kwanza kulia) wakiwa pamoja na Balozi wa Ujerumani Mr. Hans Koeppel kwa ajili ya Mazungumzo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...