Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam leo. Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani wa tani 7 tu au ni kiburi tu. Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na jeshi lake wana kazi ya ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na haujirudii.
Home
Unlabelled
yale yaleeeeee - waziri magufuli anapotafutwa ubaya...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tanzania naililia Tanzania yangu kila siku balaa utafikiri ndio kwanza tumetoka kwenye mahandaki.
ReplyDeleteAina hii ya ajari na zenye kufanana nazo hutokea Tanzania pekee.......kila uchao tunashuhudia mambo kama haya wakati mwengine yakigharimu maisha ya wasio na hatia.....ni huzuni kubwa sana....kulizunguka tatizo kana kwamba halina ufumbuzi.....
ReplyDeletesolution ya kuwatia adabu hawa malori
ReplyDeleteyawe na insurance kubwa inayoweza lipa huu uharibifu na madhara ya hizi ajali
gari likikutwa halina insurance mmiliki afungwe jela pamoja na faini
kwa haya heshima itarudi
Ni sawa na msemo ''Gari Haijai Abiria'' na huyu dereva wa lori alikuwa na mawazo hayo hayo akiongeza '' Ujanja Kuwahi'' na mwisho tunasema '' Ni Kazi ya Mungu'' daraja kuvunjika.
ReplyDeleteMdau
Christos Papachristou
Diaspora
Mpiga picha amesahau kupiga kile kibao cha tani 7 kilichopo mita chache kabla ya daraja. Lori lilikuwa limejaza matofali kwenye hilo container la futi 40, piga mahesabu ujue lilikuwa na tani ngapi.
ReplyDeleteSi magufuli alithalilishwa kwa kuweka faini kwa magari yanayozidisha uzito? Mtafuteni waziri mkuu aseme ni kitu gani kimesababishwa daraja kuvunjika.
ReplyDeleteThis is beyond STUPIDITY, let the driver and his company pay for rebuilding this bridge. Utterly disgusting way of squandering (kutapakanya) Tanzanians monies, hii ni pesa ya mkulima na mfanyakazi, mijitu mingine haisikii mpaka UICHAPE FIMBO, aaarrrrggggghhhhh!!!!
ReplyDeleteMwenye Lori na mwenye mzigo watiwe ndani na Magufuli ahakikishe daraja linajengwa kwa gharama za hao wamiliki. Huu ni uzembe usiovumilika hutokea sana hata pale daraja la Mlalakuwa magari ya zaidi tani 7 hupita na Askari wapo lakini hatua hazichukuliwi. Mheshimiwa Magufuli uwe mkali sana kuhusu hili jambo.
ReplyDeleteHILI GARI LITAUIFISHWE NA DEREVA ANYONGWE, KWANI GARAMA YA KUJENGA DARAJA HILI NI SAWA NA SHULE ZA MSINGI 20 AU DISPENSARY ZA VIJIJINI 25 HII NI HASARA KUBWA SNA KWA UCHUMI WA NCHI MASKINI KAMA HII
ReplyDeleteNaona sasa upole tuweke kando,kwa nini sipewi ushauri mkuu kwa mh Magufuli? Hapa ni mwenye gari kulipa gharama zote za matengenezo ya daraja bila kuchelewa. Kinyume chake ni kutaifisha gari na mzigo. Wenye magari wakishaonja joto ya jiwe watajua jinsi ya kuadabisha madereva wao. Kila siku tunapiga mark time hatusongi mbele shauri ya ujinga wa wachache kama huyu dereva!
ReplyDeleteMSimlaumu mwenye kubeba mizigo mizito ni WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA juzi tu ameruhusu magari yaliyojasza mpaka pomoni kupita kwenye barabara na watu wamepigia kele sana hili nashangaa ni waziri mkuu wa aina gani huyu? kauli zake nyingi ni utata tu
ReplyDeleteHUKUMU YA PAPO KWA PAPO ZA RISASI ZINAHUSU
ReplyDeletekweli akili ya muafrika ni kama andazi ,chai maharage. ndiyo maana wazungu wanatuona kama akili zetu ni sawa na nyami kwani ubongo wetu bado kukomaa-
ReplyDeleteMuafri´ka oyee
Kuma mbegese
nilikuwepo eneo la tukio na hiyo njia mchepuko tuliyopita ilitufikisha home saa 4, kwakweli hatufiki, Magufuli hawezi kuwa na macho nane, palepale wangeweka mechanism to ensure no lorry crosses the temporary bridge sasa ndio hiyo ilikuwa njia mchepuko yetu kwa wakazi wa kimara na kibamba ukichukulia maanani kuwa morogoro road imefungwa kupisha matengenezo, heri tutafute vyumba upanga
ReplyDeleteMengi yatasemwa, lakini ifike mahali madereva wapimwe akili kwanza kabla hawajaendesha magari, sababu kwa mtu tu wa kawaida huwezi kutoa uamuzi wa kupitisha container kama hili kwenye daraja dogo la chuma kama hilo wakati alama zipo. Pia kuwe na utaratibu wawepo polisi jamii kwenye hizi njia, nasema hivyo sababu barabara za kutokea mandela kwenda tabata ni nyembamba na uwezo ni mdogo wa kupitisha Semi trailer, malori makubwa na matenki. Tumeshuhudia mara nyingi magari hayo yanaanguka na kuleta madhara, lakini cha kushangaza hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya wazembe hawa. Pia wakati mvua zilipokuwa zinanyesha zilileta mafuriko maeneo mbalimbali hapa Dar ikiwepo kona ya kuelekea CCM kwenda Kimanga barabara ilimegwa, ikabidi bila kutoka saa kumi alfajiri nyumbani, utachelewa kazini sababu foleni ilikuwa inaanzia Kimanga, lakini bila aibu malori yaliendeelea kupita na matenki ya mafuta, sasa huu upole uishe jamani, sasa hivi sisi wenyewe wananchi tuwe walinzi sababu ndio tunaopata matatizo kila siku, bajeti zenyewe za serikali ndio hizo. Inabidi tusimame kidete kukomesha wapuuzi kama huyo dereva aliyevunja daraja. Sbb ameshaleta athari kubwa sana kwa wakazi wa maeneo mengi. Ushauri wangu ni kwamba mzigo huu sio tu apewe Waziri Magufuli, sisi wenyewe wananchi tuwe na msimamo kuhusu hawa watu wasiokuwa na masikio, sbb sasa hivi adha ya foleni imeongezeka mara dufu toka jana kuelekea Tabata-Segerea-Kinyerezi na maeneo mengineyo.
ReplyDeleteMwisho mmiliki ajenge daraja letu, akileta ubishi jera, hapo hakuna msamahaaaaaaaa!!!!!
Tumechoka jamaniii!
Mdau umesema kweli akili ya mwafrica ni kama andazi hivi kweli ata kwa ufikilio tu angepita kwenye hilo daraja. na tani zote hizo, hmmm kama wanavyosema wenzetu watu weusi ubongo mdogo
ReplyDelete