Shughuli za uandikishaji wa kaya maskini linaloendeshwa na TASAF chini ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika awamu ya tatu ya TASAF. TASAF ni mfuko ulio chini ya Ofisi ya Rais ambao umepewa jukumu la kupambana na umaskini. Hapa ni katika mtaa wa Tambukareli, kata ya Mpanda Hoteli. Zoezi hili linafanyika piakatika Halmashauri ya wilaya ya Mpanda na Halmashauri ya wilayaya Mlele.
Shughuli za uandikishaji wa kaya maskini linaloendeshwa na TASAF zikiendelea wakati wa Zoezi la Uandikisha ji wa Kaya Maskini Mpanda Mji
Wananchi wakisubiri Zoezi la Uandikisha ji wa Kaya Maskini Mpanda Mjini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...