Kwa mara ya 7
mfululizo AUTOFEST sasa imekuja na mashamsham kabambe kwa wadau wote wa magari.
Maonyesho haya yatahusisha
- wauzaji magari
- Vipuri vya magari
- watoa huduma
shirikishi (Bima , Bank,n.k)
- Kwa upande wa
Michezo Zawadi zakumwaga bila kusahau 4 x 4 challenge , Norinda (Drifts).
- V.I.P lounge na
Nyama Choma Kama kawaida
UNAKARIBISHWA KUCHUKUA NAFASI
YAKO MAPEMA KAMA UNAHUSIKA
NA:
Commercial Vehicles 4
WD's
Transportation
Vehicles
Motorcycles &
Scooters
Auto Spare Parts
Tyres & Batteries,
Oil & Lubricants
Logistics
Traffic Safety and
Signage Products
Garage Tools &
Equipment
Petrol Station
Products
Car Accessories, Car
Care Products
Car Loans/Finance
Automotive Paints
Automotive Security
Products
Trucks &
Trailers' Spare Parts
Mawasiliano:
tel: 22 2664283 Cel:
+255 754/784 280 491 / 0715 847 466 e:info@autofest.co.tz
w: www.autofest.co.tz
Mashindano ya magari
Maonesho ya magari aina mbalimbali
Wenye bisahara zinazohusu magari
Show kabambe ya magari ya kila aina
Watoa huduma za magari toka taasisi na makampuni mbalimbali
Duh kuna Mdau ana Bentley hapo naona!
ReplyDelete