Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo |
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali . |
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range
Rover baada ya kugongwa. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA |
ReplyDeleteHasante kwa habari picha, Lakini nakushauri ndugu
Muandishi jitahidi kukamilisha habari, habari yako imepwaya sana, Saa ngapi, akina nani wameumia ama kupoteza maisha, wachombo kipi cha moto kati ya hivyo, nini kilicho sababisha hiyo ajali? Usi mwache sana Msomaji na maswali ambayo majibu yake unayo.
Mdau Sixmund