Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia Ankal wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba. 
Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimkabidhi taarifa ya michango yake Ankal  wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya  38 ya Sabasaba. Pembeni wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa PPF. Kumbukumbu za PPF zinaonesha Ankal ameanza kuchangia mfuko huo toka  mwaka 1994
 Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengele (Kulia) akimkabidhi zawadi Ankal akati alipotembelea banda la PPF katika Viwanja vya maonyesho ya 38 ya biashara yanayoendelea kufanyika Jijini Dar Es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...