Kamishna wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akiwa ameambatana na kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz wakitembelea maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukagua ujenzi wa kituo kipya cha polisi.
Kamanada wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP Robert Boaz akizungumza na maofisa wa Polisi wa kada mbalimbali katika wilaya ya Mwanga (hawako pichani)kabla ya kumkaribisha kamishna wa Polisi jamii nchini ,CP ,Musa Ali Musa.
Kamishna wa Polisi jamii Nchini,Musa Ali Musa akizungumza na maofisa wa Polisi wa kada mbalimbali katika wilaya ya Mwanga (hawako pichani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2014

    Hii meza sijui ya ofisi? ingepigwa pigwa msasa ikapitishwa vanish na seremala wa hapo mtaani ingekuwa na muonekano mzuri zaidi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...