Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar.(Ramadhan Othman,Ikulu.)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo .(Ramadhan Othman,Ikulu.).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...