Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga wakisubiri muda wa futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuea njiani kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola.
Mheshimiwa Membe akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
Mheshimiwa Membe akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye ukumbi wa mazungumzo (majlis) nyumbani kwa Balozi Mdogo.
Membe kanzu imekupendeza
ReplyDeleteNakubali, hiyo kanzu imempendeza mtani wangu Ustaadh Membe :-)
ReplyDeleteIFTAR - RAMADHANI KARIM
ReplyDeleteNafikiri kuanzia leo tutampandisha
madaraka na kumwita Mhs.AL HAJJ MEMBE.Tutalitumia vazi hili msimu wote wa kampeni 2015.Kwa hili hautokuwa na mpinzani baba wa Taifa Mwl Nyerere alilitumia vazi hili katika kampeni za kutokomeza udini na ukabila na kofia alivaa msimu wote akiwa madarakani.
MIKIDADI-DENMARK