Home
Unlabelled
biashara matangazo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bora nimecheka na saumu yangu kwa kusoma maneno haya haaaaaa...jamani si lazima kuandika kimombo tuandike tu kwa lugha yetu tunayoijua kuliko kujilazimisha kuandika kimombo
ReplyDeleteMdau wa kwanza hiyo lugha iliyotumika hapo ndio yenye kuzungumzwa sana na kufahamika kama ilivyoandikwa Uswazi...seuse wateja wanapatikana bila shida....ila kwa wasomi hakika kuna dosari....lakini rizki yapatikana....
ReplyDeleteMimi nimelipenda sana hili tangazo ila neon "Gurdulet" sijaelewa maana yake. Tafadhali naomba kueleweshwa.
ReplyDeleteHivi basdy ni birthday hata mimi maneno mengine hapo nimetoka kapa.
ReplyDelete