
Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana!
Chef Issa anashukuru Allah kupata bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.

Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.

Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scout

Huu ndio mkate wenyewe ukiwa unaelekea kuiva

Baada ya moto kupungua na magogo kuwaka kama mkaa hapo sasa safi unaweza endelea kubanika mkate wako hakikisha fimbo ni ndefu ili usiungue mikono. Mtembelee Chef Issa BOFYA HAPA
Ankal huo sio "mkate" bali ni mashmallow.
ReplyDeleteMashmallow ni nini?
Mashmallow ni pipi sukari kawaida ina sukari, mchanganyiko wa vitu vingine. Huwa nyeupe na ipo kama sponji hivi. Huchomwa na kuliwa, na hapo ndio wananvyofanya hapo juu.
MKATE WA KUCHOMA NA KUNI??????? NEVER SEEN
ReplyDeleteWhat a fantastic creativity big up chef tunataka kusikia mambo kama hayo naimani wazungu uliwashangaza sana.
ReplyDeletegood luck bro, keep up the spirity
DUH BONGE LA UBUNIFU CHEF ISSA YOUR ALWASY THE BEST DAH SAAAAAAFI SAAAANA
ReplyDeleteDUH ITAKUA INANUKA MOSHI BALAA HIYO ITAWEZA KULIKA KWELI HAAAAA HII NI BALAA UTUNDU MWINGINE CHEF HATA HAUFAI KAZI IPO WAZUNGU SI WANAKULA TU HADI MAKONOKONO MHHHH ULIWABURUZA MBAYAAAAA
ReplyDeleteBENJA USA
Marvelous Tanzania celebrity Executive chef we trust on you, kudos.
ReplyDeleteYoung talented chef Issa Kapande we kiboko ila huu mkate kweli haunuki moshi? Unaweza kula kwa siagi na jam? tupe recipe tujaribu home.
ReplyDeleteDUH BAAK KUBWA KAZANA DOGO SIKU MOJA UVUNJE REKODI YA DUNIA KWA UBUNIFU TUNAYATAK SANA HAYO KWA HESHIMA YA TAIFA
ReplyDelete
ReplyDeleteMhhhhh this is brilliant, where is the recipe? is the bread fro diabetes? Contractive answer please chef
ReplyDeleteNimeupenda procedure please how to make it? funny the kids
UNAKUA LAINI KAMA MIKATE MINGINE AU UNAKUA MGUMU KAMA BUMUNDA MHHH HII KIBOKO WE CHEF ULIJIFUNZA WAPI
ReplyDeleteJamani sio mkate, hii inaitwa Marshmallow ni pipi..unazichoma (roast) na kula soma hapa zaidi
ReplyDelete