Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana!
 Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.
Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.
Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scout
Huu ndio mkate wenyewe ukiwa unaelekea kuiva
Baada ya moto kupungua na magogo kuwaka kama mkaa hapo sasa safi unaweza endelea kubanika mkate wako hakikisha fimbo ni ndefu ili usiungue mikono. Mtembelee Chef Issa BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ankal huo sio "mkate" bali ni mashmallow.
    Mashmallow ni nini?
    Mashmallow ni pipi sukari kawaida ina sukari, mchanganyiko wa vitu vingine. Huwa nyeupe na ipo kama sponji hivi. Huchomwa na kuliwa, na hapo ndio wananvyofanya hapo juu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2014

    MKATE WA KUCHOMA NA KUNI??????? NEVER SEEN

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2014

    What a fantastic creativity big up chef tunataka kusikia mambo kama hayo naimani wazungu uliwashangaza sana.

    good luck bro, keep up the spirity

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2014

    DUH BONGE LA UBUNIFU CHEF ISSA YOUR ALWASY THE BEST DAH SAAAAAAFI SAAAANA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2014

    DUH ITAKUA INANUKA MOSHI BALAA HIYO ITAWEZA KULIKA KWELI HAAAAA HII NI BALAA UTUNDU MWINGINE CHEF HATA HAUFAI KAZI IPO WAZUNGU SI WANAKULA TU HADI MAKONOKONO MHHHH ULIWABURUZA MBAYAAAAA

    BENJA USA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2014

    Marvelous Tanzania celebrity Executive chef we trust on you, kudos.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2014

    Young talented chef Issa Kapande we kiboko ila huu mkate kweli haunuki moshi? Unaweza kula kwa siagi na jam? tupe recipe tujaribu home.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2014

    DUH BAAK KUBWA KAZANA DOGO SIKU MOJA UVUNJE REKODI YA DUNIA KWA UBUNIFU TUNAYATAK SANA HAYO KWA HESHIMA YA TAIFA

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2014


    Mhhhhh this is brilliant, where is the recipe? is the bread fro diabetes? Contractive answer please chef

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 03, 2014


    Nimeupenda procedure please how to make it? funny the kids

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 03, 2014

    UNAKUA LAINI KAMA MIKATE MINGINE AU UNAKUA MGUMU KAMA BUMUNDA MHHH HII KIBOKO WE CHEF ULIJIFUNZA WAPI

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 04, 2014

    Jamani sio mkate, hii inaitwa Marshmallow ni pipi..unazichoma (roast) na kula soma hapa zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...