Hii ni sehemu ya jiji la Dar es salaam, hususan maeneo ya Mchafukoge na Kariakoo ambako kunaonekana Busatani ya Mnazi Mmoja Garden kuzitenganisha. Awali majengo ya upande wa kulia mwa bustani hiyo yalikuwa ya mbavu za mbwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2014

    Dar imeedelea kujengeka mnazi mmoja ndiyo inazidi kupendezesha ukiiangalia kwa juu unaona angalau kuna open space.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 14, 2014

      Yani panapendeza sana pakiwa pakavu.Tusubirie mvua za masika
      Tuone

      Delete
  2. AnonymousJuly 14, 2014

    miaka ya themanin kuna watu walitaka kuuza hiyo bustani ya mnazi mmoja.......

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2014

    BARABARA NI ISSUE KUBWA DAR. MAJENGO MAREFU HAYASAIDIA KAMA BARABARA NI MBOVU NA UMEME HAUNA UHAKIKA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...