Home
Unlabelled
DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOTEMA YAI KWENYE BET RED CARPET CALIFORNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
katisha mbaya ... salam toka Arusha
ReplyDeleteUkijitutumua saaana waweza kwama wakati mwengine.....
ReplyDeleteWatanzania wengi wanajua ung'eng'e tatizo CONFIDENCE. … angalia Diamond alivyokuwa confident yaani ameongea vizuuuuri perfect english. you see wabongo wenzangu tujiamini tu jamani tunaweza… yap yes we can.
ReplyDeleteDiamond nae sasa aanze kujifunza kingereza,.. alikua anajibu maswali kidogo tofauti na alivyoulizwa, nimecheka anaulizwa maswali yeye kwaaanza ndo anajiangalia na akucheki time watch yake utafikiri yuko busy hahaha ila big up full maconfudensiii.. mdau Kontula
ReplyDeleteMsijidhalilishe kwa kujipima kiingereza Chenu. Kuongea kiingereza ni JAMBO la kawaida tu na wala is kujiamini. Kujiamini ni Mawazo na weledi wa Sulla unalotakiwa ujadili.
ReplyDeleteKEEP IT UP BOY!,YOU ARE HIGHLY TALENTED!.
ReplyDelete''Diamond nae sasa aanze kujifunza kingereza,.. alikua anajibu maswali kidogo tofauti na alivyoulizwa, nimecheka anaulizwa maswali yeye kwaaanza ndo anajiangalia na akucheki time watch yake utafikiri yuko busy hahaha ila big up full maconfudensiii.. mdau Kontula''
ReplyDeleteHapana,Diamond alikuwa akijibu swali la mwandishi kuhusu suti kali aliyovaa huku akitumia ishara pia anaonesha kazi ya bora na safi ya Sheria Ngowi, designer wa nguo wa Tanzania aliyemvalisha viwalo na siyo naangalia saa.