Hapa Diamond aligeuka nakukuta aliye mvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.
Camrea yetu ilimpata Platnum katika poz hili
Picha iliyotamba kwenye Blogs za marekani jana -Diamond katika Poz la Kisheria Ngowi. Picha zaidi BOFYA HAPA
heheheh nimecheka kweli mapozi yake bab kubwa ....hongera zake...
ReplyDeleteMwenyezi Mungu akulinde na akubariki kwa yote uyafanyayo. Napenda sana kazi zako, na ninafurahi unavyozidi kupanda juu. Ila nakuomba usilewe sifa ili uendelee kufanya vizuri zaidi na kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania. Pia nina ushauri mdogo wa bure, tafuta girl friend atakayekuelekeza njia ilinyooka na inayompendeza Mungu. Nikiwa na maana hata kama unaona unataka kuwa na girlfriend star basi awe mwenye maadili mema. Nitakupa mfano wa wachache ambao wameshaolewa na utanilewa nina maana gani, Faraja Kota, Hoyce Temu na wengine wengi. Au jaribu kumwelekeza huyo uliyenaye kwenye njia inayompendeza Mungu, kabla hajakupotosha kabisa. Hukuwa na tabia za kuweka picha chafu mitandaoni sasa upo naye kaanza kukuambukiza. Take care and all the best.
ReplyDeleteHongera sana Big up kaka
ReplyDelete