Home
Unlabelled
Israel and Palestine, an animated introduction.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Ankal! Ni kweli wengi wao hawa mayahudi walikuwa wakimbizi kutoka Ulaya na Urusi; lakini idadi ndogo ya jamii hii ilikuwa wanaishi ndani ya utawala wa Ottoman.
ReplyDeletePia sisi inabidi tukumbuke Waingereza walitaka kuwapa eneo mbadala ndani ya Afrika ya Mashariki - mradi huu ulijulikana kama "Uganda Plan".
Video imejaribu kujumlisha ujumbe kwa kusema "Kundi moja la wakimbizi walitafuta mahali mpya pa kuishi lakini katika mchakato huu, kundi jipya la wakimbizi iliundwa"
Tukumbuke siku ya Al Quds mwaka huu utakuwa tarehe 25 Julai baada ya Swala ya Ijumaa. Tushiriki sote!