Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2014

    Jk mtu poa sana. .cheki jinsi alivyo mshikisha huyo dogo kitu kidogo..kiupolee. .dogo akadaka akajikata. ..lol..Mama Salma pia kambeba mtoto kisha alipomrejesha kwa mama yake akamhikisha. .huo ni utamaduni wetu. .hubebi mtoto hivihivi tuu mtoto mchanga unambeba then unamuachia mama pesa ya sabuni, nepi,n.k..kitu kidogo walau..du! Hawa ni watu wazuri sana na tujivunie kuwa nao kama viongozi wetu na wenzetu kama binaadamu. Mwenyezi Mungu awaongezee baraka zaidi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2014

    Wajina kama BBC, big up.....safi sana hii.

    Ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...